Biashara ya Kuuza/Kununua Engagements (YouTube,Instagram,Facebook & TikTok)
-
UTANGULIZI
-
BIASHARA YA KUUZA FOLLOWERSTop 10 website za Kununua Followers7m 6sJinsi ya Kujiunga kwenye website5m 14sJinsi ya kuweka Hela kwenye website5m 28sJinsi ya kuweka, cheap and working orders Instagram(Followers,Likes &comments)18m 48sJinsi ya kuweka, cheap and working orders Facebook (Followers,Likes &comments)6m 45sJinsi ya kuweka, cheap and working orders Youtube (Subscribers,Views)11m 13sJinsi ya kuwasiliana/kuulizaa kwenye website5m 59sNamna ya Kutafuta wateja social media9m 14sNamna ya kutengeneza website yako na kuuza Followers9m 12s
-
HITIMISHO
Jinsi ya kuanza biashara ya kuuza followers Social media
“Naitwa Miraji Mshana, mtaalamu wa masoko kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na meneja wa mitandao ya kijamii mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 4. Nimefanikiwa kutengeneza zaidi ya TSH 20 milioni kwa kuuza huduma za kuongeza Followers kwenye mitandao ya kijamii.
Kozi hii fupi imeundwa kwa lengo la kutoa maelezo ya kina na rahisi kuhusu jinsi ya kuanza biashara ya kuuza huduma za kuongeza Engagements kwenye mitandao ya kijamii kama vile Followers, subscribers, likes, na comments. Nitakuelezea kwa kina na nitakuonesha kwa mifano halisi jinsi biashara hii inaweza kukupatia kipato endelevu.
Wafanyabiashara wengi na watu mashuhuri kwenye mitandao ya kijamii huongeza ushiriki ili kuwavutia wateja kwenye biashara zao. Ikiwa wewe ni mfanyabiashara na unahitaji kuongeza ushiriki kwenye akaunti yako, kozi hii ni mahali sahihi. Utapata orodha ya tovuti zinazoongoza kwa kuuza huduma za kuongeza Engagements kwa bei rahisi sana. Karibu, na tuanze safari hii pamoja. Let’s roll Guys
mr-mshana
Social media expert
5.0Instructor Rating7
Students1
Courses1
Reviews- Simple tips & Sustainable strategy
- brand strategy specialist
- Social media management service
- Help business grow online presence