Jinsi ya kupata APIs za Azampay, Flutterwave, Pesapal, Selcom Kwa ajili ya Payment integration

1 hour 41 minutes 5 Enrolled 4.0 (1) Intermediate

Katika ulimwengu huu wa kidigitali unaweza kutengeneza mfumo ambao utakuruhusu na kukusaidia kupoea malipo online. Unakweza kutengeneza website au app pamoja na software mbalimbali.

Kwenye hii short course ntakuonyesha jinsi ya kupata APIs za payment gateways mbalimbali kwa ajili ya kupokea malipo. Lakini pia kama wewe ni web developer unaweza kutumia hzi hatua kwa ajili ya kuunganisha accouts za wateja wako na kuanza kupokea fedha.

Nimeelezea kwa umakini kila video kama kutakua ana changamoto tafadhali comment kwenye comment nitakujibu as soon as possible

Sh33,000 Sh50,000

What's included

  • Website links

Requirements

  • Programing skills
  • Payment integration skills
  • Web developent skills
  • App development skills
  • API Handling & Integration Skills

Audience

  • Developers
  • Web desigers
  • Business man
  • Tech Agencies

What Will I Learn?

  • Payment gateways zinazofanya kazi Tanzania
  • Vigezo na viambatanishi vya kupata mfumo wa malipo
  • Jinsi ya ku Apply kwa ajili ya kupata mfumo wa malipo (Live APIs)
  • Azampay API
  • Selcom API
  • Flutterwave API
  • Pesapal API
  • DPO API
  • Rapesa API

rodgence

Web developer

4.8Instructor Rating
55
Students
5
Courses
4
Reviews

I'm a web developer and instructor based in Tanzania with four years of experience, Working as a freelancer Worldwide

View Details

Want to receive push notifications for all major on-site activities?